Anaweza
kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on
two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za
karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada
ya video na picha zake chafu kusambaa on social networks,TEENTZ
imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa
kumhusu. ''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha
zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was
drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala
ya kuandika habari za uongo eti nimeenda south kuuza ,me sina dhiki ya
kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa"na ,picha niliyopiga siyo ya
uchi ile hata nikikuonesha,nilikuwa nimevaa nguo kabisa,kuna uchi
nimeonesha pale? Na mtu kuenda South ndio ameenda kujiuza? Mimi nina
biashara zangu nafanya na wanaosema hivyo hawanisaidii chochote,hakuna
mtanzania anayeninunulia nguo,hayupo anayenipa pesa waongee tu''
Katika hatua nyingine Agness aliyashutumu baadhi ya magazeti nchini kwa kile aklichokiita wanaandika story zisizokuwa na ukweli
"Unajua sisi wadada tuna tabia ya kuoneana wivu akiona unafanya vizuri
anaanza kukusemea vitu vya ajabu pembeni,Magazeti ya Bongo
nayo,wanaandika tu vitu vya kusikia pasipokuwa na uhakika na
wanachokiandika nilisoma gazeti eti Wema ana mabaka,sijui Lulu amekonda
ameisha,Wema alivyo mzuri vile?Lulu mwenyewe umemwona,amekonda yule
wanaandika tu imradi wauze"
Lakini pia alizungumzia uhusiano wake na mwanadada Sintah ambae awali
ilitajwa kuwa wan beef lililotokana na kuvuja kwa video chafu, "Ugonvi
wetu ulishaisha ,Simchukii Sintah na sitoweza kumchukia kwanza ni mkubwa
kwangu yule,me niwa 1989 tu jamani,na watu hawajui me ni mpole na
sipendi kugombana na watu magazeti tu wananijengea sifa mbaya"
Kuhusu ushiriki wake katika video as video queen,Agness alifunguka kuwa
hatoshiriki tena kwenye video yoyote coz mchumba wake hapendi na
amemzuia. "nimeonekana kwenye Masogange ya Belle9 na Magube
gube,sitoshiriki tena kwenye video za bongo Fleva sababu mchumba wangu
amenizuia na hapendi kwanza"
Na hili likawa ndio neno lake kwa watanzania "Agnes wa saivi siyo yule
wa zamani nimeshabadilika jamani,me nimchumba wa mtu,nimeshachumbiwa n
soon naolewa" ....alimalizia mwanadada Agness