TASWIRA YA JENGO KA BIASHARA LILILOPOROMOKA BANGLADESH.
Watu wakusanyika kwenye jengo la Rana Plaza wakati watu wanajaribu
kuwaokowa wafnaykazi wa viwanda vya kushona nguo walokwama ndani ya
vifusi katika mji wa Savar, kilomita 30 kutoka Dhaka, Bangladesh juzi.
Wafanyakazi wa uwokozi wanawatafuta walonusurika baada ya jengo la gorofa nane kuporomoka huko, Savar, Bangladesh.
Wafanayakazi wa uwokozi wanaunganisha vitamba kumshusha muathirika
aliyenusurika katika ajali ya jengo kuporomoka huko Savar, near Dhaka,
Bangladesh
Mtu aliyekwama ndani ya vifusi vya jengo la gorofa 8 akiokolewa baada ya
jengo kuporomoka huko Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh
Mzima moto akimsaidia mfanyakazi wa kiwanda cha kushona nguo baada ya
jengo la biashara kuporomoka huko Savar, near Dhaka, Bangladesh
mama analia baada ya kuambiwa jamaa yake amefariki katika jengo lililoporomoka Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh,