Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, April 26, 2013

TASWIRA YA JENGO KA BIASHARA LILILOPOROMOKA BANGLADESH.


Watu wakusanyika kwenye jengo la Rana Plaza wakati watu wanajaribu kuwaokowa wafnaykazi wa viwanda vya kushona nguo walokwama ndani ya vifusi katika mji wa  Savar, kilomita 30 kutoka Dhaka, Bangladesh juzi. Wafanyakazi wa uwokozi wanawatafuta walonusurika baada ya jengo la gorofa nane kuporomoka huko, Savar, Bangladesh.
Wafanayakazi wa uwokozi wanaunganisha vitamba kumshusha muathirika aliyenusurika katika ajali ya jengo kuporomoka huko Savar, near Dhaka, BangladeshMtu aliyekwama ndani ya vifusi vya jengo la gorofa 8 akiokolewa baada ya jengo kuporomoka huko Savar, karibu na Dhaka, BangladeshMzima moto akimsaidia mfanyakazi wa kiwanda cha kushona nguo baada ya jengo la biashara kuporomoka huko Savar, near Dhaka, Bangladeshmama analia baada ya kuambiwa jamaa yake amefariki katika jengo lililoporomoka  Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh,
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...