skip to main
|
skip to sidebar
Social Icons
Pages
Home
Friday, April 26, 2013
RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AWAONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO UWANJA WA UHURU LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama lililoandaliwa maalum kwa ajili maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru leo jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa na Mabalozi pamoja na wageni waalikwa mbalimbali ili kushuhudia maadhimisho hayo.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA UHURU)
Rais Dk. Jakaya Kikwete akikagua kikosi cha Jeshi la Magereza wanawake wakati wa maadhimisho hayo
Rais Dk. Jakaya Kikwete akielekea jukwaani mara baada ya kukagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho hayo
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa jukwaani pamoja na viongozi wengine kutoka kulia ni Rais Mstaafu Benjamin Wiliam Mkapa, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Gharib Bilal, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Kutoka kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Rais Wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais Wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kulia akiwa na viongozi wengine katika jukwaa kuu kutoka kushoto ni Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiingia uwanjani katika gari maalum huku akisindikizwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Uhuru
Msafara wa Rais ukiingia uwanjani leo
Kikosi cha Jeshi la Ulinzi JWTZ kikipita na kutoa heshima mbele .
Kikosi cha Jeshi la Ulinzi JWTZ wanamaji kikipita na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete .
Kikosi cha Jeshi la Kujenga taifa JKT kikitoa heshima mbelea ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi Maalum Cha Bendera kikitoa heshima zake bele ya Rais Jakaya Kikwete
Kikosi chamJeshi la Ulinzi JWTZ nchi kavu kikipita na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikso cha Askari wa Magereza kikipita na kutoa heshima mbele ya Rais Jakaya Kikwete
Watoto wa halaiki wakionyesha ujumbe mbalimbali kuhusu Muungano wetu mbele ya Rais Jakaya Kikwete na maelfu ya Watanzania waliohudhuria katika maadhimisho hayo
Watoto wa halaiki wakionyesha ujumbe mbalimbali kuhusu Muungano wetu mbele ya Rais Jakaya Kikwete na maelfu ya Watanzania waliohudhuria katika maadhimisho hayo
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Find Us On Facebook
X
About Me
Captain Fixed Matches
View my complete profile
Follow Us
Popular Posts
AIBU:VIDEO NA PICHA ZA FILAMU YA NGONO YA MASTAR WA MAJUU HII HAPA:
CHEKI VIDEO :HILI NDILO BALAA LA KANGA MOKO LAKI SI PESA.....
VIDEO:HII NDIO BALAA LA KUNYONYANA MIDOMO MAARUFU KAMA (DENDA) CHECK OUT ON AIR
Arusha One. Powered by
Blogger
.
Blog Rafiki
MACHAKU
New Audio: Gettho Mseto - Strevol ft Mr. Blue
NDG SHILATU - BLOG
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku
AUDIFACE JACKSON BLOG
INFO is HOT.
Queen Darlen Amkana Alikiba Kweupe
Mdodosaji
VIDEO: Dk. Mwakyembe Akiongelea Sakata la Richmond, huku Akimtuhumu Nassari Kuingia na Konyagi Bungeni
Blogroll
LIVE TRAFFIC FEED(VIEWERS)
Feedjit Live Blog Stats
Twitter Follow Us
Follow @amiri_omary
Shilling Exchange Rate
!-end>!-currency>
Get the
Calendar
widget and many other
great free widgets
at
Widgetbox
! Not seeing a widget? (
More info
)
Resources
NUNUA BIDHAA YAKO SASA....
Wikipedia
Search results
Amazon.com Widgets
Live streaming by Ustream
Labels
BONGO AUDIO
freemason
kurasa za magazeti
matukio picha
udaku bongo
video bongo
vituko
Blog Archive
Blog Archive
Jun (1)
Sep (20)
Aug (6)
Apr (8)
Feb (20)
Jan (43)
Dec (14)
Sep (5)
Aug (28)
Jul (802)
Jun (761)
May (1066)
Apr (411)
Mar (38)
Dec (8)
Jul (22)
Apr (5)
Jan (2)