Rais
Xi Jinping wa China leo Beijing amefanya mazungumzo na rais
Francois Hollande wa Ufaransa ambaye yupo ziarani nchini China.
Viongozi hao wawili wamebadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala mbalimbali yanayofuatiliwa na nchi hizo, na kuamua kuheshimiana, kunufaishana na kuhimiza uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili kuendelezwa katika sekta mbalimbali.
Rais Hollande amewasili hapa China leo asubuhi, na kuanza ziara rasmi, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufanya ziara nchini China tangu ashike wadhifa wa rais wa Ufaransa. Hollande pia ni kiongozi wa kwanza wa nchi ya Magharibi aliyefanya ziara nchini China tangu China kuwa na viongozi wapya.