Kitendo
cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama
Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema
Sepetu,
na
kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo
cha"Udhalilishaji wa Mwanamke" . kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote
wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii
kuishi
kwa
kufuata na kuheshimu maadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa
ni kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha
kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na
Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha
"kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamamana kinadada
na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd pia kugomea
kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuzikiNasibu Abdul
Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wotewa
kitanzania popote pale walipo.
Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za "Udhalilishaji wa Mwanamke"
Wanawake
wote ambao wamempa like au ad katika mitandao kama facebook kujiondoa
mara moja na kogemea kununuajarida au gazeti lolote lile litakalo mpamba
mwanamuziki huyo.