Waziri
wa Ujenzi Dr.John Magufuli (kushoto) akisikiliza maelezo ya ujenzi wa
barabara kutoka Ndundu-Somanga (km 60) mkoani Pwani jana kutoka kwa
Mhandisi Mkazi kutoka kampuni ya ESG (Mouchel Parkman )alipotembelea
kuangalia maendeleo ya ujenzi huo ambapo hadi sasa wameshalipwa kiasi
cha shilingi 59 bilioni..
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akiongea na baadhi ya wanakijiji
wa Malendego jana wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa mradi ya
barabara ya Ndundu- Somanga(km 60).
Baadhi
ya wakazi wa kijiji cha Malendego mkoani Pwani wakimsikiliza Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Magufuli (hayupo pichani) wakati wa ziara ya
kikazi(15,7,2012).
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(mwenye pama katikati) akitoa maagizo kwa
meneja wa mradi wa ujenzi pamoja na Mhandisi mkazi wa mradi huo hawapo
pichani jana alipotembelea mradi huo jana,ambapo Waziri Magufuli mna
mwenedo wa kususua wa ujenzi huo. (kushoto) Ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi Balozi Herbet Mrango.(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dsm Mecky Sadick.