Ni show ya kihistoria ndani ya jiji la Arusha. Kikubwa watu wa Arusha kuonyesha ustaarabu juu ya tamasha hilo kwani tukikumbuka kilichotokea pale Shekh Amri Abeid ilikuwa ni aibu kwa vijana wa Arusha na kulishushia heshima jiji la Arusha. Tunapaswa kujua starehe ni gharama na inapotokea nafasi ya watu kujumuika juu ya show fulani tunapaswa kuwa wastaarabu na kama unaona starehe hiyo haifai basi si lazima kwenda kuliko kwenda na kuwa kero kwa watu wengine. Mungu atutangulie juu ya tamasha hilo liweze kufanyika kwa amani na upendo.
Tuesday, July 30, 2013
Watu wa Arusha kazi kwenu,ProfJay na Lady Jaydee ndio Mpango mzima EIDmosi na Eidpili