Baada ya wachezaji wa Arsenal kudondoka Asia kwenye tour yao ya 2013,
wakiwa Vietnam walikutana na kijana ambae iliwalazimu kumpa nafasi ya
kupanda kwenye gari lao lililojaa wachezaji pamoja na kocha wa timu hiyo
"Wenger" na kupiga nae picha huku wakimshangilia kwa makofi baada ya
kukimbiza gari hilo kwa zaidi ya kilometa 5