Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, July 10, 2013

TASWIRA ZA RAIS KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JKT



Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti mara baada ya kuwasili Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo tayari kuongoza kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda (kulia) na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Samweli Albert Ndomba (kulia kwake) katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Baadhi ya askari wa JKT na JWTZ katika sherehe hizo
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samweli Albert Ndomba (kulia) na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga (kulia kwa Rais ) katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Gwaride likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Ukakamavu
Nidhamu
Utii
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...