Waziri
wa Ujenzi Dkt, John Magufuli, (mwenye kofia ya pama) akiongea na
Diwani wa kata ya Mwenge Dkt. Julian Bujugo(aliemshika begani) wakati
ya ziara yake .
Picha ya Pamoja kati ya Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli pamoja na viongozi waliokuwa katika ziara yake.
Muonekano wa ujenzi unaoendelea wa ujenzi wa barabara ya Davis Corner- Vituka – Jet Corner
Baadhi
ya ujenzi wa vituo vya mradi wa Mabasi ya mwendo kasi (DART) barabara
ya eneo la Ubungo,Mwembechai , Jangwani na Kivukoni vikiendelea,
Sehemu ya muonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi eneo la Kigamboni.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.