Ndugu
zanguni kina kaka na wadada wenye magari 4 wheels drive eg Landcruisers
Vx/v8, prados, Vogue, X5,Murano, Audi, Santafee,Mabasi, Pajero etc kuna
ma kampuni ya wazungu investors hewa wameingia Dsm wakisema wanahitaji
haya magari na kukuahidi ku kulipa dola 100 hadi 200 kwa siku so kwa
mwezi unapata kitu km $3, 000 hadi $6, 000!!!
Then
wakichukua yakifika magari10 hadi 15 hadi 20 wanayaendesha na madereva
wao wanayatorosha nje ya Tz,Rwanda, Burundi, Zambia, congo nk!! Watu
wameshalizwa jaman kwa kuibiwa magari ya kifahari na hata mm wamenifuata
watu wa namna hii kunipa hili deal, nikakataa! So guys be careful with
these sweet deals!
Chanzo: Mdau-Haika Lawere