Nikiwa na wakili wa Mume Wangu, Peter Kibatala na mwandishi wa habari Makene.
Hivi ndivyo alivyojibu wakili wa mume wangu Henry Kilewo, Wakili msomi Peter KibatalaGoodmorning:nimepigiwa
simu kadaa toka kwa watu mbalimbali wakinijulia hali baada ya kusoma
some post huko Jamii Forum kwamba nimevamiwa,kupigwa na kujeruhiwa na
watu wasiojulikana kuhusiana na case ninazoendesha kuwatetea
Wanaharakati kadha wa kadha.