Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, July 12, 2013

PRESIDENT OBAMA KAACHA UPEPO MZURI TZ OPRAH WINFREY NAYE KUTUA TANZANIA:

http://www.bet.com/topics/o/oprah-winfrey/_jcr_content/topicintro.topicintro.dimg/2011-topic-celeb-oprah.jpg
 
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake taarifa zilizoifikia millardayo.com muda mfupi uliopita baada tu ya bondia Evander kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, staa huyu mwingine wa dunia nae anatarajiwa kufika Tanzania muda mfupi ujao.
Staa huyu mtangazaji Oprah Winfrey ambae amewahi kufanya interview na mastaa wengine kama marapper  Jay Z, 50 Cent na mwimbaji Rihanna, unaambiwa kuna uwezekano mkubwa kabisa usimuone Dar es salaam au sehemu nyingine maarufu za town, atakwenda Serengeti moja kwa moja July 13 2013 kwa ajili ya mapumziko tu na kuondokea hukohuko. Mwingine anaekuja kuitembelea Tanzania ni mwimbaji Lynda:
 
Credit to Millad Ayo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...