PICHA ZA MAANDAMANO YA AMANI YALIYOFANYWA NA CHADEMA KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI ARUSHA
Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya
madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa
kusimamia uchaguzi vizuri.,
Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jingo la Halmashauri kuonana na Mkurugenzi wa jiji
Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa
Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa
Madiwani. ( Picha na Ferdinand Shayo)