PICHA YA JAYDEE AKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KUSHUTI VIDEO YAKE YA YAHAYA
Moja ya picha inayomuonyesha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini
Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Anaconda akiwa katika maandalizi ya
kutengeneza video yake ya nyimbo ya Yahaya ambayo hivi sasa wimbo huo
unazidi kupata umaarufu