Pages

Monday, July 1, 2013

New Video: Ciara ft. Nicki Minaj – I’m Out


Beautiful Ciara aka CiCi jana (June 30) ametoa video mpya ya single yake ya sasa “I’m Out” aliyompa shavu Nicki Minaj. Wimbo huu utapatikana katika album yake mpya inayotegemewa kutoka (July 9). Itazame hapa