Nimeamua
kuja kijijini kusherekea siku yangu ya kuzaliwa pamoja na masabiki
wangu wa huku maeneo ya kwadikwazu! Mwakani mwenyezi mungu akiniweka hai
na afya njema tena ntaenda kijiji kingine.
Nakata keki nile na masabiki wangu |
Nimekatazwa kukata na sime najaribu kukata na kisu sijui atawesekana? |