Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 27, 2013

LADY JAYDEE KUFANYA SHOW ARUSHA EID

Mwanamuziki mkongwe katika game la Bongo fleva hapa nchini Tanzania ‘Lady Jaydee’ now days anatamba na wimbo wake wa Yahaya uliopo katika albamu yake ya sita ya “Nothing but the truth”.Anategemea kukonga nyoyo za mashabiki katika jiji la Arusha siku ya Eid mosi na Eid pili katika Club yaTripple A.Hiyo yote ikiwa ni malengo ya kuwapa burudani mashabiki wake wanao support kazi yake ya muziki.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...