KIKWETE ATOA WEEK MBILI KWA MAJAMBAZI KUSALIMISHA SILAHA-LA SIVYO
AKIONGEA KWA UJASIRI akiwa ngara:ametoa wiki mbili kwa majambazi
kusalimisha silaha na kujisalimisha. "NIMECHOKA"tutafanya operation
kubwa ambayo haijawahi kutokea KAGERA,GEITA NA KIGOMA kwa kuvishirikisha
vyombo vyote vya ulinzi mnavyovijua, akivitaja, JWTZ, POLISI NA USALAMA
WA TAIFA.
Ametahadhalisha kuwa wageni waanze kuondoka wenyewe na kurudi nchini
kwao, "tutawasaka majumbani kwao, misituni, walikochimbia silaha zao na
risasi" - TAYARI NIMESHAWASILIANA NA VIKOSI VYOTE VYA ULINZI"
Source:Chanel Ten.
My take:
Majambazi wasakwe kote nchini kwa mwendo huuhuu. NAUNGA MKONO HOJA!