Irene
Uwoya hivi karibuni amebadilisha jina lake la instagram na kuanza
kujiita Irenewaferegola8. Kama ulikuwa hujui Feregola8 ni msanii mkubwa
kama Farry Ipupa huko Congo. Hatujajua kama irene uwoya ni marafiki
wapya wazuri au Irene Uwoya ni moja kati ya mashabiki wakubwa wa
mwanamuziki wa Congo Fere Gola.