Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, July 9, 2013

HII NDIO MELI YA KUBEBA ABILIA KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI

Meli hii inaitwa "Allure of the Sea" ilizinduliwa tarehe 20 November, 2010 na ilianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza 1 December, 2010, inakadiliwa kuwa na uzito wa tani 225,282 na pia ina urefu wa 362 m (1,187 ft)  na kimo chake ni 72 m (236 ft) kwa kwenda chini na ina wafanyakazi wapatao 2,384  na inakadiliwa kupakia watu kuanzia 5,400 mpaka 6,296.  Meli hii ina vyumba vya kulala vipatavyo 2700.



























Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...