Hii
ni video ya wimbo mpya wa Kenyan diva ‘hot’ Habida inayokwenda kwa jina
la “LIGHTS UP”. Ni video kali ambayo iko busy mwanzo hadi mwisho na
imebeba viwango vya kimataifa kutoka kwa hit maker wa ‘Kesho’ na
‘Sunshine’. Itazame hapa
Find Us On Facebook | X | |||