Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, July 4, 2013
Dar inazidi kukua, hili jengo limezinduliwa jana.
Linaitwa Msasani City Mall, lipo pembeni kidogo ya Ubalozi wa Marekani… pichaz zaidi za lilivyojengwa na muonekano wa mchana zinakuja soon.
.
Wakati wa uzinduzi mastaa wa bongofleva Shetta na Diamond Platnums walifanya kazi yao pia.
.
.
.
.
‹
›
Home
View web version