Jacqueline Wolper. |
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba
pambano la ndondi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi
wa bifu lao.
Akipiga stori na mwandishi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni.
Akipiga stori na mwandishi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni.
Baby Joseph ‘Baby Madaha’.
“Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni
msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba, kuigiza
na ni msomi yeye anaweza hayo? Kimsingi naomba pambano nimtandike
ulingoni,” alisema Baby Madaha.