Picha juu na chini ni Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi nchini wakiangalia baadhi ya vipeperushi na majarida mbalimbali ya Umoja wa Mataifa kuhusu katika Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa lililopo Karume Hall kwenye maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika uwanja wa Mwalimu Nyerere uliopo barabara ya Kilwa wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. Na Kauli mbiu ya Mwaka huu ya Umoja wa Mataifa katika maonyesho haya ni “Kufanya kazi kwa pamoja na Watoto, Vijana na Wanawake”.
Monday, July 1, 2013
ASKARI WANAWAKE WA JESHI LA POLISI NCHINI WATEMBELEA BANDA LA UMOJA WA MATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA