Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, July 11, 2013
ANGALIA PICHA YA MZEE ALIYEJITOKEZA KUMFUFUA MWL.NYERERE
Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM,
anasemA yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,
Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia!
Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.
Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM.
(Chanzao cha habari hii ni Ukurasa wa Radio ya Kyela FM)
‹
›
Home
View web version