ARUSHA ONE

Pages

▼

Monday, July 8, 2013

ANGALIA PICHA YA MTOTO ALIYEUNGUZWA MOTO KWA KULA KIPORO

mtoto1

Hayo ni maneno aliyoandika Dada Regina Mwalekwa wa Clouds Radio kupitia Blog yake kuhusiana na tukio la binti ambaye ni yatima kuchomwa moto kwa kula kiporo cha ugali…
. “Sura imeniparama kwa maumivu ya Dora mimi ni mzazi so ilinigusa mnooo! Yatima wanateswa jamani, lakini watu wanasahau kua yatima na wajane ni jicho la Mungu aliye hai, fanya ufanyacho malipo ni hapa hapa ulimwenguni”.

at 4:55 AM
Share
‹
›
Home
View web version

About Me

Captain Fixed Matches
View my complete profile
Powered by Blogger.