Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa
Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College waliomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya
kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza
washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho
cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na
usalami pamoja na taasisi za serikali
Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea zawadi ya bilauli toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi
(National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala
wakati washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa
(National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo
ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na
wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee
kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na
taasisi za serikali
Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea zawadi ya nembo toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi
(National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala
wakati washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa
(National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo
ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na
wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee
kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na
taasisi za serikali
Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha
Ulinzi cha Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini
Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu
mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki
hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha
kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami
pamoja na taasisi za serikali
PICHA NA IKULU