Wengi
walitegemea kuwa Aunt Ezekiel ataungana na mumewe Sunday katika
kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini hali imekuwa
ni tofauti....
Aunt anayetumia jina la Rahma baada ya kubadili dini ili aolewe na mwanaume huyo, amemtosa mkaka huyo na kuendelea kula bata nchini huku akidai kuwa mumewe hana mengi.
"Sina mpango wowote wa kuondoka nchini kumfuata mwanaume.Yeye ni mume wangu, ntamkuta tu hata nikienda mwakani.
"Kwanza mume wangu hana mengi na si mkorofi na anajua wazi kwamba sipendi kubanwa.Kwa sasa nina mambo mengi likiwemo hili la kuisambaza filamu yangu mpya ya Scola mwezi ujao"...Alisema aunt Ezekiel