Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, July 1, 2013

AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA NI NJIA YA KUELEKEA NJIRO,MLIMA WA ESAMI WAWILI WAJERUHIWA..!


 HAYO MAGARI YANAYOONEKANA HAPO NI MSAFARA ULIOKUWA PAMOJA NA GARI ILIYOPATA AJALI WALIKUWA WAKIELEKEA MAKABURI YA NJIRO KUZIKA

  HUU NI UKINGO WA BARABARA YA ESAMI UKIWA UMETOKA BAADA YA AJALI HIYO

  GARI AINA YA TOYOTA CORONA T 528 AJK IKIWA PEMBENI BAADA YA AJALI


 WANAICHI WAKIJARIBU KUCHUNGULIA NDANI YA GARI IYO





 WANAINCHI WAKIJARIBU KUISOGEZA PEMBENI GARI ILIYOPATA AJALI


 MASHUHUDA WA AJALI HIYO ENEO LA TUKIO

 HICHI NI KIOO CHA NYUMA CHA GARI HIYO

GARI AINA YA TOYOTA CARINA IKIWA KWENYE HALI MBAYA BAADA YA AJALI
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...