Jaji mkuu wa mahakama ya juu
zaidi ya kikatiba Adli Mansour
ameapishwa leo kuwa raisi wa mpito nchini misri baada ya Mohamedi Morsi
aliyechaguliwa na wananchi mwaka mmoja uliopita kwa demokrasia
kuondolewa madarakani kwa kupinduliwa na jeshi la Misri kwa