Huyu
ni miongoni mwa wapiga nondo katika mkoa wa IRINGA akipokea kichapo
kikali huku akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kituo cha polisi, jamaa
huyu anayefahamika kwa jina la MASTER, Amekamatwa mara tuu baada ya
mwenzake kukamatwa leo hii asubuhi akidaiwa naye kuhusika na uharifu
huo. hii imetokea mara tuu baada ya matukio ya namna hiyo kulipotiwa
mara kwa mara siku za karibuni.(Picha na Lewis Mbonde)
Wananchi wakiwa hawaogopi askari na wakiendelea kumpa kichapo mharifu huyo uku safari ya kuelekea kituoni ikiendelea(Picha na Lewis Mbonde)
Watu wakiwa wengi kusaka na kuwakabidhi watuhumiwa hao mikononi mwa polisi
Wananchi wakishangaa kilichojili leo mjini Iringa