Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, June 7, 2013

VIVUTIO VYA JIJI LA MWANZA NDIYO VILIVYO SABABISHA KUITWA ROCK CITY PITIA PICHA ZA ALAMA ZA JIJI LA ROCK CITY


Mawe kama haya jinsi yalivyo kaa unaweza kudhania yame pangwa wakati ndiyo yalivyo tokea enzi hizo


Moja ya roundabout za mjini Mwanza hapo utaona alama ya samaki wanaopatikana katika ziwa Victoria


Nyumba na mawe vinaenda na sambamba mambo ya rock city hayo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...