Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, June 12, 2013

TAZAMA PICHA 6 ZA KAJALA AKIWA MWANZA, PIA ATEMBELEA KATIKA NYUMBA YA MASISTA WAKATOLIKI. TAZAMA HAPA


Mwigizaji Kajala Masanja aliyerudi uraiani hivi karibuni baada ya kuachiwa kwa dhamana ya shillingi milioni 5 za kitanzania zilizotolewa na mwanadada Wema Sepetu ameamua kwenda mapumzikoni jijini Mwanza kwa ajili ya mapumziko binafsi ya kutuliza akili yake zaidi akitafakari mipango yake iliyobakia kwa ajili ya mwaka 2013.



Akizungumza na simu tokea na bongo movies tokea jijini humu kajala amesema hii ni safari yake ya kwanza mkoani humo toka atoke jela na atakuwepo kwa siku kadhaa kabla ya kurejea jijini Dar es salaam

Katika moja ya picha mbalimbali alizoweka mtandaoni kajala alionekana kuhuduria kwenye nyumba ya ibada (kanisani) huku akiandika kanisani kidogo kusali muhimu sana nakushukuru mungu kila siku....akiwa pamoja na masista kadhaa wa kanisa hilo la katoliki eneo hilo.CHANZO : BONGO MOVIE




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...