Wachezaji wanatoka Uwanja wa Ndege na kuelekea kambini Tansoma Hotel, kuanza maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Ivory Coast wikiendi ijayo |
Mbwana Samatta |
Nahodha Juma Kaseja akimpa posho yake Shomary Kapombe baada ya kufika Uwanja wa Ndege Dar es Salaam. Mwingine kushoto ni Vincent Barnabas |
Wanapanda basi kuelekea kambini |
Kutoka kulia Mrisho Ngassa, Kapombe na Thomas Ulimwengu |
Katibu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza na Kocha Kim Poulsen |
Angetile akizungumza na Mkuu wa Msafara wa Stars nchini Morocco, Crescentius John Magori na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba katikati |
Ndondi hadi Dar; Erasto Nyoni akimtania kumpiga ngumi Ally Mustafa 'Barthez' anayejikinga kwa mifuko |
Vijana wapo Dar tayari CREDITS: BIN ZUBEIRY |