Rais Jakaya Kikwete, akimlaki mgeni wake,
Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili
Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala mbalimbali ya
ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo. (Picha zote na Kassim
Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na
kumkaribisha mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto),
mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili
masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo.
Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha mgeni
wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya
kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala
mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo.
Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha kwa
mazungumzo mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto),
mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili
masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo.
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia),
akiuongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumza na majadiliano kati ya
Serikali yake na Serikali ya Sri Lanka chini ya uongozi wa Rais wake,
Mahinda Rajapaksa, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa
(wa pili kushoto), akiuongoza ujumbe wake katika kikao cha mazungumzo
ya majadiliano ya kiushirikiano na Serikali ya Tanzania chini ya uongozi
wa mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam jana jioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Waziri wa Mambo ya
Nje wa Sri Lanka, Profesa G. L Pairis (kushoto), wakisaini moja ya
mikataba iliyofikiwa kati ya Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam
katika hafla hiyo jana jioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka,
Profesa G. L Pairis (kushoto), wakibadilishana mikataba hyo mara baada
ya kuisaini kati ya Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam katika
hafla hiyo jana jioni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi
Hamis Kagasheki (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa
G. L Pairis (kushoto), wakisaini moja ya mikataba iliyofikiwa kati ya
Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam jana jioni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi
Hamis Kagasheki (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa
G. L Pairis (kushoto), wakibadilishana mikataba waliyoisani baada ya
kuafikiwa na Serikali zao katika majadiliano yaliyofanyika, Ikulu jijini
Dar es Salaam jana jioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari,
mara baada ya kusaini mikataba kati ya Serikali ya Tanzania na Sri
Lanka, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa
(kulia), akiangalia zawadi ya kinyago, aliyopewa na mwenyeji wake, Rais
Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam jana jioni wakati alipomwandalia
dhifa ya Kitaifa na ujumbe wake.
Ujumbe wa Tanzania na wa Sri Lanka
wakiwa katika hafla ya dhifa ya Kitaifa, iliyoandaliwa na Rais Jakaya
Kikwete kwa mgeni wake, Rais Mahinda Rajapaksa jana jioni, Ikulu jijini
Dar es Salaam.

















