Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, June 18, 2013

PINDA AMTEMBELEA NASARI NA NAMELOK SOKOINE HOSPITALINI ARUSHA

IMG_1435
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa  kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_1416
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole  Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoinine  aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu  akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...