Queen Elizabeth II akiwa anafika kwenye jengo la BBC kwa ajili ya ufunguzi leo


Queen
Elizabeth II akiwa anaonekana nyuma wakati wa urushaji wa matangazo ya
BBC alipokwenda kufungua jengo jipya la urushaji wa matangazo la BBC leo

Mbwa hawa wametumika katika ulinzi wa Queen Elizabeth II alipofika kwenye jengo jipya la BBC

Queen Elizabeth II akitambulishwa kwa wafanyakazi wa BBC alipofika kwa ajiri ya ufunguzi

Hili ndilo zulia jekundu alilokanyaga Queen
Elizabeth II alipokuwa anaingia kwenye jengo jipya la BBC kwa ajiri ya
ufunguzi rasmi wa urushaji wa matangazo kutoka kwenye jengo ilo leo

Queen Elizabeth II akifafanuliwa jambo

Hiki ni chumba kikubwa cha kurushia matangazo cha BBC

Credit: audifacejackson.blogspot.com




