Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, June 13, 2013

Picha: Kala Jeremiah aikabidhi rasmi tuzo ya ‘msanii bora wa hip hop’ kwa marehemu Ngwair

998880_272750422866107_1651078773_n

Kala Jeremiah akiwa na Afande Sele akiweka tuzo aliyomkabidhi Ngwair juu ya kaburi lake maeneo ya Kihonda Morogoro

Mabibi na mabwana, tungependa kumtangaza rasmi mshindi wa KTMA 2013 katika kipengele cha msanii bora wa hip hop kuwa ni Albert Mangweha aka Ngwair. Hiyo ni kutokana na aliyekuwa mshindi wa awali wa tuzo hiyo kuikabidhi leo kwa mama yake Ngwair mjini Morogoro.
Pamoja na kuikabidhi tuzo hiyo, Kala amempelekea mama mzazi wa Ngwair aliyefariki mwezi uliopita zawadi mbalimbali vikiwemo vyakula.


1011065_272750276199455_370036314_n
Kala na Afande Sele kwenye kaburi la baba yake Mangwair, Kenneth Mangweha
1013652_272750442866105_135858280_n
1016191_272749972866152_1053275858_n
Mama wa Ngwair wa kwanza kushoto pamoja na ndugu zake wakishuka kwenye coster kuelekea kwenye kaburi la mwanae
5817_272749906199492_929937639_n
Mama Albert akipokea zawadi
179700_272747632866386_840953864_n
Afande Sele alikuwa mwenyeji wa msafara wa Kala
421649_272747339533082_1417614291_n
942097_272747559533060_1515127581_n
Kala akiwa na miongoni mwa ndugu Ngwair
946496_272749889532827_481796371_n
Baadhi ya vitu alivyokwenda navyo Kala
971388_272749969532819_1840681761_n
992970_272749882866161_832850119_n
Kaburi la Ngwair
994779_272749929532823_1700152646_n
995811_272749916199491_570499796_n
998114_272747489533067_29621262_n
1000433_272746982866451_2113668619_n
1001039_272747402866409_44195450_n
1002977_272749899532826_1652924221_n
1010908_272746819533134_319143188_n
1013423_272746842866465_2020032391_n
1017187_272746936199789_1231089884_n
1017409_272746869533129_1847781071_n
476b4328d41f11e293dd22000a1fb194_7
‘Mama pokea tuzo hii kwa niaba ya Ngwair’
bb2f261cd41f11e2928022000a9f3c6c_7
Kala akikabidhi vitu alivyompeleka mama Albert
cdb1ccd6d41a11e2965422000a9f1599_7
Mchele na vitu vingine
e4e7bbf6d42211e2a73522000a1faf50_7
Mama yake na Mangwair, ndugu zake pamoja na Kala wakiwa kwenye kaburi la Ngwair
f46c1b92d41f11e2891f22000a1f931b_7
Kala akiikabidhi tuzo kwa mama yake Mangwair
Picha za ziada na angeris faber, Instagram.

Credit: Bongo5

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...