Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa
mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma Hamisi ambaye
alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua
katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora.
Baba wa kijana Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata mapanga
Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa
wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu.
NA KAPIPIJ



