Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, June 7, 2013

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA, AFIA URODA GESTI HOUSE MANZESE.STORI NZIMA HII HAPA

Wananchi wakiwa wamekusanyika katika gesti ya Uroda alipofia jamaa huyo.…
Wananchi wakiwa wamekusanyika katika gesti ya Uroda alipofia jamaa huyo.

Mwili wa jamaa huyo ukiwa katika difenda.
Jamaa mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake. Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...