Meneja Mkuu wa Fast Jet. Tim Lee-Foster akimpongeza msanii wa filamu Ndeshi Wakwe jana katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere . baada ya kuibuka mteja wa laki mbili kusafiri na ndege za kampuni hiyo.ambaye aliwahi
kushiriki katika filamu za Lost iliyoigizwa na msanii mahiri Yusuph
Mlela na pia ameigiza kwenye filamu ya Fare Game ambayo imeandaliwa na
Mzee Chilo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Meneja Mkuu wa Fast Jet. Tim Lee-Foster akihojiwa na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Ndeshi Wakwe. akionekana mwenye furaha baada ya kuibuka mteja wa laki mbili wa kampuni ya ndege ya Fastjet



