MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIKU 4 WA MAWAKALA WA USAFIRISHAJI WA MAJINI KWA NCHI ZA MASHARIKI YA KATI MWA AFRIKA.WAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Katibu mkuu wizara ya Uchukuzi.John Mngodo akisoma hotuba yake jana wakati akifungaMkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati kwa Afrika, uliofanyika Hoteli ya Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam Juni 19, 2013 unaofanyika kwa siku nne.
Wadau na Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati.wakiwa kwenye mkutano huo. Mwakilishi kutoka benki ya(NMB)Bw.Gerald Kamugisha akiwakilisha mada yake kuhusiana na bidhaa za za benki hiyo.