Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, June 9, 2013

MJUE BONDIA YAWA SCHMILL ''THE VOICE'' BONDIA WA KIKE MWAAFRIKA NCHINI UJERUMANI

bondia
    Boxer Sister Bintou SchmillFemale Boxer Bintou Yawa SchmillThe Voice Boxer Bintou Schmill.
 Unapozungumzia mchezo wa ngumi au ndondi nchini ujerumani  Jina la Bondia wa kike mwafrika BINTOU YAWA SCHMILL A.K.A "THE VOICE" ndiye anayemudu ulingo "Boxing Ring" na kulipeperusha bara la  Afrika ughaibuni. 
Bondia  huyo kike  Bintou Yawa Schmill mwenye maskani kule  Drakenburg nje kidogo ya mji wa Bremen, amekuwa kivutio kwa  washabiki wa kimataifa na tishio kwa wapinzani wake anapokuwapo  ulingoni. Boxer Bintou Yawa Schmill mzaliwa wa.....
Togo mwenye makao yake  nchini ujerumani alianza kucheza ngumi akiwa na umri mdogo  na kushinda mara 14 katika mashindano 24 na mara 4 K.O ,katoka  draw mara 2 uzito wa Water weight 63.5 Kg, katika ngumi za ridhaa. 
Kuanzia mwaka 2007 Boxer Bintou Yawa Schmill  a.k.a "The Voice" alihamua kucheza kungumi za kulipwa kwa uzito wa  Water weight 64.0 Kg,  
Ana urefu 1.71m,  amepigana na kushinda professional Record 4 na Ushindi wa K.O  mara 3.  Boxer Bintou Schmill kwa sasa kajiandaa kupambambana na bondia  yeyote yule wa kike na mahala popote  duniani.
Kuwasiliana na bondia huyu, andika kwa contact@ngoma-africa.com au pia waweza tembelea webu yake kwa anwani ya http://www.bintou-schmill.de
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...