KAMA angekuwa hai hadi wakati huu ambao Komredi, Nelson Mandela,
anapigania maisha yake hospitalini, bila shaka, Baba wa Taifa, Mwalimu
Julius Nyerere, asingeweza kumlilia rafiki yake huyo wa dhati, akimwaga
chozi la kukata tamaa kwamba hakuna kitakachoweza kusonga mbele tena.
Asingeweza kumwaga chozi kama ilivyo kwa..Read More



