Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, June 7, 2013

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad:''Chagueni viongozi wenye dhamira ya iutetea maslahi ya wananchi.''

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni za udiwani na kumnadi mgombea wake John Gilbert Bayo.
Aliyekuwa diwani wa CHADEMA kata ya Elerai Mkoani Arusha John Gilbert Bayo, akinadi sera zake kuomba achaguliwe tena nafasi hiyo kupitia CUF, baada ya kutimuliwa na CHADEMA
Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF Abdul Kambaya akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai Arusha, wakati akimnadi mgombea udiwani kupitia chama hicho, John Gilbert Bayo.
Mjumbe wa Baraza Kuu la uongozi CUF kutoka mkoani Arusha, Flora Emmanuel, akizungumza na wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni za udiwani ambapo Maalim Seif alikuwa mgeni rasmi.
Baadhi ya wananchi wa kata ya Elerai mkoani Arusha wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akimnadi mgombea udiwani kupitia chama hicho, John Gilbert Bayo.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu Wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...