Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 10, 2013

KAMISHNA MINJA AFUNGA MAFUNZO YA MAGEREZA

untitled2 70ee3

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Magereza Mwanafunzi Na 2623 S/SGT Clementina Nzunda kwa niaba ya Wahitimu waliomaliza Mafunzo ya Uongozi Daraja la Pili katika Chuo cha Udereva na Ufundi Kingolwira, Morogoro.

untitled3 ddbc6

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja (aliyeko katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Uongozi daraja la pili na Kozi ya Ukuu wa Kambi(RSM) Mara tu baada ya kufunga Mafunzo hayo

untitled4 5b98f

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akisikiliza Risala ya wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...