Juu na chini mashabiki wakiwa wamepagawa na Chameleon.
Chemeleon akizidikuwachengua mashabiki.
Mashabiki wakipagawika huku wengine wakipata ukodak moment na video ya makamuzi ya Chemeleon.
Chameleon akipozi na Dj.Umoshi Fire.
Mwananmuziki
wa UG Flava Chameleon jana Jumamosi aliwachengua vilivyo mashabiki wake
wa DMV kwenye makamuzi yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini
Marekani.
Chameleon
ambaye yupo Marekani kwa ziara ya kimuziki ambapo kabla ya kutua DMV
alitokea Washington State na baada ya hapa ataelekea Massachusetts na
sehemu nyingenezo ikiwemo Canada. Pichani Chemeleon akiwa chumba cha
mapumziko kabla hajaanza makamuzi.