Mmoja wa waandamanaji wanaopinga Rais Barack Obama kuja Afrika ya Kusini akipiga teke picha ya Obama
Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango
Waandamanaji wakiwa wameshikiliwa na polisi
Askari wakirusha mabomu ya machozi na
raia wakirusha mawe wakipinga ujio wa Rais Barack Obama kwamba amekuja
wakati Mzee Nelson Mandela yuko hospitalini.
Vurugu zikiendelea
Maaskari wakikwepa mawe yaliyokuwa yanarushwa na waanchi wanaopiga ujio wa Barack Obama nchini mwao
Na hawa watoto walikuwa wanapinga ujio wa Rais Barack Obama









